అంగీకరించు, ఏకీకరించు, ఒకటి చేయు, సమ్మతించు Mpaka Bwana Lololo aliporejea nyumbani, aligundua kwamba mke wake Momomo alikuwa amesha kufa kwa njaa. Bwana Lololo alishituka sana baada ya kuona kuwa mke wake alikula sehemu ndogo tu ya chapati ambyo ilikuwa karibu na mdomo wake na hakuwahi kuizungusha chapati hiyo hata kidogo. https://bihlmayermedia-bilder.com/4-advent/